Wednesday, May 21, 2014
TIA AFTER TEST TWO PATTY
JAMANI HII SIO YA KUKOSA NI PATI YA KUONDOA STRESS ZA TEST TWO ITAFANYIKA NDANI YA BILLS POSTASIKU YA IJUMAAA TAREHE 23/05/2014 WEWE KAMA MJANJA USIKUBALI KUPITWA NA KITU KAMA HII KIINGILIO ITAKUA NI SHI 5000 TUU ZA KITANZANIA PIA KINYWAJI KWA WATU 100 KWA KWANZA MTONYE NA MWENZAKO TWENDE TUCHEZE TUFURAHI NA TUENJOY PAMOJA
FAMIGATION KUFANYIKA CHUON WEEK END HII
ndugu wanafunzi wa CHUO cha uhasibu TIA serikali ya wanafunzi TIASO inapenda kutoa taarifa kupitia kwa WIZARA YAKE YA AFYA kua siku ya juma mosi hii ya tarehe 24/05/2014 itafanyika famigation yaani kunyunyizia dawa chuo kizima ili kuua wadudu pamoja na mbu wengi waliopo katika eneo la chuo ili kusaidia wanafunzi kusoma kwa amani na kujilinda na magonjwa kama DENGUE NA MALARIA ambavyo kwa sasa ndio magonjwa hatarishi TANZANIA
kwa taarifa hii basi wizara ya AFYA inapenda kuwataarifu wanafunzi wote juu ya zoezi hili kwani litafanyika chuo kizima mapaka ndani ya hostel pamoja na madarasani pia kwa wale wanafunzi wanaokaa hostelmnatakiwa kuandaa vyumba vyenu tayari kwa ajili ya zoezi hili especially kwa wale ambao vyumba vyao tayari vina wadudu kama kungun mnatakiwa kuweka magodolo vizur ili kuua hao kungun wanao wasumbuen
mtaarifu na mwenzio TAARIFA HII MUHIMU
IMETOLEWA NA WIZARA YA AFYA TIASO NA KULETWA KWENU NA WIZARA YA HABARI NA USHIRIKIANO WA NJE
MWISHI TUNASEMA HIVI
TOGETHER WE CAN GOVERNMENT FOR EDUCATION

Thursday, May 15, 2014
PPF PENSIONS FUND KWA WANAFUNZI
MFUKO WA HIFADHI WA JAMII WA PPF UNATARAJIA KUTOA SEMINA YA HIFADHI YA JAMII NA MAFAO YA PPF SIKU YA IJUMAA YAANI KESHO TAREHE 16/05/2014 KUANZIA SAA NANE MCHANA KWENYE UKUMBI WA MAIN LECTURE HALL WANAFUNZI WOTE MNAKARIBISHWA MJULISHE NA MWENZIO TAARIFA HII
IMETOLEWA NA WIZARA YA HABARI TIASO
IMETOLEWA NA WIZARA YA HABARI TIASO
Subscribe to:
Posts (Atom)