ndugu wanafunzi wa CHUO cha uhasibu TIA serikali ya wanafunzi TIASO inapenda kutoa taarifa kupitia kwa WIZARA YAKE YA AFYA kua siku ya juma mosi hii ya tarehe 24/05/2014 itafanyika famigation yaani kunyunyizia dawa chuo kizima ili kuua wadudu pamoja na mbu wengi waliopo katika eneo la chuo ili kusaidia wanafunzi kusoma kwa amani na kujilinda na magonjwa kama DENGUE NA MALARIA ambavyo kwa sasa ndio magonjwa hatarishi TANZANIA
kwa taarifa hii basi wizara ya AFYA inapenda kuwataarifu wanafunzi wote juu ya zoezi hili kwani litafanyika chuo kizima mapaka ndani ya hostel pamoja na madarasani pia kwa wale wanafunzi wanaokaa hostelmnatakiwa kuandaa vyumba vyenu tayari kwa ajili ya zoezi hili especially kwa wale ambao vyumba vyao tayari vina wadudu kama kungun mnatakiwa kuweka magodolo vizur ili kuua hao kungun wanao wasumbuen
mtaarifu na mwenzio TAARIFA HII MUHIMU
IMETOLEWA NA WIZARA YA AFYA TIASO NA KULETWA KWENU NA WIZARA YA HABARI NA USHIRIKIANO WA NJE
MWISHI TUNASEMA HIVI
TOGETHER WE CAN GOVERNMENT FOR EDUCATION