Hellow, how are you doing people soon baraza la mawaziri litakuwa released kupitia hapa tunchosubiria na majina na picha za mawaziri wateule so you just stay tuned.
mmh huyu nddiye waziri mkuu jamani mpya wa TIASO
wazee anaitwa zedock masaga. Huyu alikuwa naibu waziri wa elimu serikali iliyopita.