Kwanza guys wote wa tia poleni kwa uchovu wa wiki nzima ya kampeni na zile ma hang over za jana kwa wale wala bata kama mimi, nahisi tulichoka xana na maumivu ya kushindwa na wengine na furaha za kushinda baaaas
Mwisho wa cku maisha inabidi yasonge vijana na tuijenge tia yetu mpya yenye mafanikio mema sasa stress zote ziko kwa baraza la mawaziri baaas rais usikosee aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............
RAISSSSSSSSSSSSSSSSSS
dahhhhhhh cheeeeeeeeeeeeeeeeeeekkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii shangwe hapa la watu main hallllllllllllllllllllllllllllllllllllll palikuwa hapakamatiki daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hiiiiiii ni nouma hamna lawama aliyeshinda ameshinda
kwa tathmini bwana gift alipata kura 700 thadeo 466 khimji 256.