Hellow guys, ni imani yetu kuwa mungu yuko poamoja nasi sote na tunajiaandaa vyema na mitahani yetu ya majaribio leo katika safu hii tungependa kuwaleteeni room saba zinazoongoza kwa usafi upande wa wavulana, katika small tour hizi ndizo zilionekana room safi na zoezi lilikuwa ni la kushtukiza ili tujue kama ni jadi ya room kuwa safi kila mara.
welcome and just take a look............................................
1. these is room number 35 hii ndo rooom safi kuliko zote katika hostel za wavulana ndio room ambayo anakaa rais mstaafu
4. hii ni room number 35 its a nice room hamna hata chembe ya mchanga na haya ndo mandhari yake member wa humu ni sheha naibu spika wa zamani na vichwa vyake
5. Its not a complicated room but its very clean all over the day haya ndo mandhari yake hapa ni kwa rais ni room number 28
hapo juu ni mr president bed
6. these is room number 43 room ya wachungaji ni safi, just take a look
7. Room number 18 pia ni safi kama madhari yake yanavyoonyesha
jipange na room 10 safi upande wa hostel za kina dada soon after test 2 au sio ila igeni mifano wa hizi room jamaniii.