
Hellow guys hope mko poa and your doing well with the holiday full of funny na shangwe nyingi kwa kila mmoja na mahali alipo anawakilisha vizuri kama kawaida yetu team blog tupo kwa kuwapa updates zote za chuo kwa anzia tarehe ya kufungua chuo na lini utayapata matokeo ya ko ya semister so keep on walking through here guys for more info and updates