TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Sunday, January 20, 2013

Hizi ndizo sifa na tabia za wanafunzi wa vyuo vya tanzania

Utafiti uliofanywa na watalaam toka nchini umegundua wanafunzi wanafunzi wa vyuo tanzania

1.hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko lecture na semina

2.hushinda room kuliko libray

3.hujua mitindo ya mavazi kuliko module

4.huogopa sap,carry na disco kuliko dhambi

5.humfahamu wakurugenzi wa bodi ya mikopo kuliko wa wahadhili

6.huudhulia birhdays,harusi kuliko ibada

7.hutoa ofa kwa wenzao kuliko sadaka misikini na makanisani

8.hupenda ku discuss mishahara kuliko maswali

9.hupenda kuwabagua wenzao wanaotoka familia za kimasikini kuliko matajili

10.huchukia sana siku za mitihani,test