Haya haya wale wapenzi wa michezo yote TIA ndo wakati wenu sasa, taarifa ni kwamba kuanzia tarehe 25 mwezi huu yale mashindano ya enter class michezo yote kwa anzia basketball,football,volleyball and netball yataanza, so stay tuned asee wana tia hivyo basi kila course ya kila mwaka anzeni kuaandaa timu zenu mapema kufikia alhamis hii tutaanza kupita madarasani kuchukua majina bila kusahau mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya wabunge na mawaziri kuanzia saa 10 kamili soo please hata kama uchezi unaombwa uwepo pale uwanjani ili kuipa support timu yako.