
kama kawaida leo ndio chuo kimefunguliwa soooo kwa wale waliomaliza DIP mwaka uliopita na CHETI ni kwamba vyeti vyenu vimetoka na mnatakiwa kuvichukua pia kwa wote sasa Ratiba imetoka na iko kwenye notice board hivyo basi stay tuned tunaziweka kwenye soft copy then mtaipata kupitia hapa, kwa wale ambao bado wako home......kwa wale BAC2 na BPLM2 mnatakiwa msaini course work za operation research kwa wale ambao hamkusaini kipindi cha rikizo.