Hellow TIA how are u doing?
hope mko poa sana na holiday inaendelea kama kawaida sooo keep on popin guys,kwa taarifa ni kwamba chuo kwa watu wa bachelor kitafunguliwa wiki ya tatu mwezi wa kumi na diploma zote na certificate kitafunguliwa tarehe 2-9-13 na masomo yataanza tarehe 9 mwezi wa 9 soo keep updated to everyone,Na kwa watu wa bachelor tarehe zikitoka you will be updated.