TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Thursday, May 15, 2014

MFUKO WA BIMA KUANZISHWA KWA WANAFUNZI WOTE WA T.I.A

Kesho siku ya ijumaa tarehe 16/05/2014 kutakua na mkutano saa saba kamili mchana mpaka saa Nane na nusu katika ukumbi wa LECTURE HALL

Maada ni kuhusu  MFUKO WA BIMA WA TAIFA (NHIF)wenye lengo la kutoa ufafanuzi wa huduma ya afya kwa wanafunzi wote na kuwapatia elimu juu ya mfuko huo wa bima ambao unatarajiwa kuanzishwa mwaka wa masomo 2014/2015 katika chuo chetu kwa kila mwanafunzi so kama mwanafunzi wa WA TIA unaombwa kuhudhuria katiaka semina hiyo MAHALI NI MAIN LECTURE HALL


IMETOLEWA NA WIZARA YA AFYA TIASO NA KULETWA KWENU NA WIZARA YA HABARI TIASO