Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama A.Y leo huko nchini South African amejichukulia tuzo ya kwanza katika kipengele cha Most Gifted East African video of the Year na hii ndiyo list ambayo alikuwa akichuana nayo katika kuwania tuzo hizo Most Gifted East African video of the Year