wiki zilizopita kupitia mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hii kila
kona ya mitandao hiyo, huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali mengi
na wengine kudai kuwa inawezekana kuna watu tu wameamua ku edit picha
kwa madhumuni ya kuwachafu wasanii hawao ambae ni Lina kushoto, Recho
kulia na Diamond.
baada ya kumpata Recho ambaye ni msanii anaekimbiza kwa nyimbo zake kama upepo, amerudi na kizunguzungu alisema hayaaa.
"hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na
wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua
tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile
alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati
mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
tulikua sehem to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe
sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila
mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri.
DIAMOND LINAH NA RACHEL
