Hellow leo katika hamsha hamsha tumeona tutupie couple ya siku ambapo hapa tunakutana na mr Wille and madam Sarah its real kama ni mkaaji mzuri wa hostel you will know these student, yaani hawa everytime wako pamoja kuanzia asubuhi mpaka jioni na hutengana mara tu inapofika saa tano usiku kama uamini you just make a research utaona how these guys love each other, sio siri ni kivutio cha wengi sana na kuna imani kuwa hata wengine hutamani kuishi that kind of life but waukweli ndo its a big problem.
huyu ni sarah mdafada mwenyewe na bonge la tabasamu
Hapa wakiwa pamoja katika
Mr wille katika pozi