TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Thursday, November 22, 2012

EXCLUSIVE; MTAMBUE WAZIRI MKUU NA SPIKA WA BUNGE

   Kwa habari zilizotufikia hivi punde kwa yaliyojiri katika bunge la kwanza la TIASO ni kuwa leo ndio ile siku ambayo rais alitakiwa kupeleka jina la waziri mkuu na kuchaguliwa kwa spika wa bunge pamoja na naibu wake
    Hivyo basi kwaanzia sasa mpaka mwakani waziri mkuu wa TIA 2012-2013 ni Zedoki msanga ansoma BAC11  kwa wale ambao hawamfahamu kwanza ndiye aliyekuwa naibu waziri wa elimu katika serikali iliyopita pia ndiye aliyekuwa kampeni manager wa bwana Gift Jengera ambaye ndiye rais wa Tiaso.

    Spika wa bunge ni Yusuph Yasiri huyu ni mwanafunzi wa BBA mwaka wa pli huku naibu spika ni Frank huyu ni mwanafunzi wa DA one yuko evinning.

     Hey viongozi wapya sio siri tunawapongeza sana kwa kuchguliwa kuwa viongozi wa bunge, pi tungependa kumpongeza bwana Gift kwa uteuzi huo kwani ni bonge la uteuzi huo kwani tulihisi angeweza kukosea, sio siri watu wamelizika kutokana na utendaji wa jamaa  kipindi alikuwa naibu waziri wa elimu na tuna imani kama aliweza kuwapa ushirikiano katika serikali iliyopita hata mwaka huu tuna imani nae na itakuwa vivyo hivyo kikubwa ni kuombeana afya njema.


















NB;  Picha zitakuwa released soon  kupitia hapa so stay tuned.