TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Saturday, November 17, 2012

FANYA REGISTRATION KABLA YA TAREHE TATU

HI
niaje wadau kwa taarifa za mr boma wiki iliyopita amedai kwa wale wote ambao hawajakamilisha ada mnatakiwa mlipe mapema coz m2 apigi test two mpaka id mpya xoooo jipangeeeni wazeeee mr boma hana mchezo eti na inaonyesha kati ya wanafunzi 4000 main campus ni 900 2 ndo wamekamilisha ada xooo cjui wanafunzi hawatapiga paper nahisi ndio changamoto ya kwanza anayokutananayo wazeeeeeeeeeee.

           Nadhani mmemwona mr hazuruni hapo vijana mzee huyu ni changamot