Hapo high table ni wagombea wote wa urais pamoja na tume ya uchaguzi.
Cheki hilo shangwe duh ni noma yaniii that day we can even express how was it watu na mabango wakinadi wagombea wao.
Msimamizi wa uchaguzi ndani wa uwanja wa taifa.
Watu wakijiandaa kuvote mwaka huu wa2 wamejitokeza xana tofauti na miaka ya nyuma changmoto ni nyingi mno.
Duhhhhhhhhhhhhh wadada ndo usiseme..............................