Hellow guys hope ua doing great with your thing, how was the wekend everybody? hop ua cool ishu ya msingi ni kwamba the new elected president of tiaso MR Gift Jengera ameapishwa leo mishale ya saa sita mchana hivi na sherehe hiyo kushuudiwa na mwaliko wa rais wa UDSM pamoja na yule wa IFM, guys it was a nice and memorable day to mr Gift Jengera and baada ya kuapishwa alisema hivi
"Ningependa kumshukuru mwenyezi mungu kwa heshima kubwa ambayo wanafunzi wa TIA mmenipa ya kuwaongoza na kuwakilisha matatizo yenu sehemu husika hivyi basi kwa uaminifu mlionao juu yangu naahidi nitafanya kazi kwa kuzingatia katiba yetu na pia kuendeleza chuo chetu ili kiweze tambulika zaidi bila kusahau kutekeleza ilani ya uchaguzi" alisema maneno hayo huku akimalizia kwa kusema "VIVA FOREVER"
Hongera bwana mkubwa for the chance you got plz do everything which is a nyc one na acha vile ambavyo unahic havina msaada.
GIFT JENGERA
Picha zote za uchaguzi will be released soon guys kupitia hapa so stay tuned au sio wadau toeni sapoti alafu msisahau kufollow hapa.
" Mungu ibariki TIA Mungu ibariki Tanzania "