natumaini kuwa nyinyi wote ni wazima and your going well with you studies guys, huku tanga people are good and try to do what you send them because nyota njema huonekana asubuhi, and by the fact that gthey are representing karibia 10000 tia community and they real behave good
Pia we thanks management kwa mambo mazuri ambayo wamejitahidi na wanajitahidi kuplay their roles kwa wanachuo kwa kuwabadilishia makazi na pia kufanikisha kila hitaji linalo hitajika
HIZI NI PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI YA VIJANA WAWAPO TANGA
haya hii ni ile hotel ya kwanza tuliyofikia guys na hapa ni mazee wakijiaandaa kupew rooms
Duuuh jaamaa ana hamu nalo tuna imani lazima liludi kwetu hilo ni kombe la volleyball jamani vijana walilochukua mwaka jana
Guys katika boooooooooooooooonge la pozi
waziri wa michezo mstaafu nae hakuwa nyuma kushow love na wana wote walioko hapa tanga big nup ccta irine
These is the new hotel ambapo guys wanaishi katika hili ningependa kumshukuru mr Petro kwa juhudi zote walizofanya ili vijana wapate kubadilishiwa mahali pa kulala pia, shukrani nyingine za dhati ziende kwa waziri wa michezo bwana sally kubeta na jackline kwa role kubwa mliyoplaya katika swala la mahali pa kulala know guys are comfortable and living good life, sitakuwa nimefanya haki bila kumpongeza bwana faraji kwa kututafutia mahali hapa we need guys wanaojitolea klama jamaa
tazama picha ya these place hapo chini
Guys kwanza ningependa kusema mtusamehe kwa kuchelewesha taarifa hizi kutoka tanga ila ni matatizo madogo tu ya kiyfundi ndo yamlitokea but dont worry fm today kila game na picha zake we will let you guys know all about these things happening here
LEO ASUBUHI TIMU YA WADADA IMECHEZA NA IFM NA TUMESHINDA SOOOOOOOOOOOOO BIG UP TO OUR GIRLS
PIA KIKAPU WAMEJITAHIDI SANA BUT THEY LOOSE THE GAME AGAINST CBE
Baada ya muda kidogo click hapa kupata picha za kikapu na baketball without forgeting
leoo wale washindi wa voolleyball 2011 to 2012 TTTTTTTTTIIIIIIIIIAAAAAAAAAAAA ndo wancheza so dua zako ndizo za muhimu sana kwetu jamani kushinda
eeeeeeeeeeeeeeemmmmmmmmmmmm ouuuuuuuuuuuuuuuut