TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Monday, December 10, 2012

EXCLUSIVE: ULEVI KWA WANAFUNZI WA KIKE NI CHANZO CHA KUBAKWA NA KUFANYA NGONO ZEMBE




HI, Niaje wadau nina imani mko poa na mnaendelea na masomo kama kawaida leo bwana tungependa kuanza na hiki kitu ulevi, kama ni mfuatilijai mzuri wa habari hasa za kimataifa utakubaliana na mimi kuwa nchi zinazoongoza kwa wanafunzi kuwa walevi mashuleni south africa ni jambo ambalo ni la kawaida hii inassababisha kuwaletea athari mbalimbali katika afya zao na hata maisha wanawake jamani punguzeni angalia hawa ni wanafunzi wamepiga vitu hadi wamebebwa haya niambie ukisha angalia hii picha kuwa wanaenda wapi na huyo jamaaa jibu ni moja kuwa walvyokuwa wanakula wanaenda kuvilipa
 
 
 



 
 GIRLSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS STOP THAT