Hello guys we hope kila mtu ni mzima, tungependa kuwapongeza wasichana kwa kuweza kufika fainal hapa tanga pia kwa football na volleyball leo ndo nusu fainali yao ya kwanza nao naona wameashinda zidi ya cbe kwa hiyo tunawangoja footballl tuone itakuaje
wadada leo wanacheza na IAA jamni kinachohitajika ni dua zenu ili timu yetu iweze cchukua hilo kombe la mshindi wa kwanza.