Hellow hope coolin taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba from today TIASO iko kwenye mchakato wa mwisho wa kuweka DSTV pale hostel za wavulana hii ni kwa mujibu wa rais bwana gift jengera kwamba kilichokuwa kinasubiliwa ni Projecta tu ya kuweza kuonyesha hadi mchana na imeshapatikana

SOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO STAY TUNED FOR GOOD THINGS FROM FAVORITE CHANEL
Ile adha ya kwenda kuangalia games nje sasa imekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa