TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Wednesday, December 12, 2012

PICHA ZA MATUKIO SHIMIVUTA

Hi
 guys niaje pande hizo ni wazima au siooo haya sasaleo kulikuwa na game kama tatu ambazo timu yetu imecheza gameya kwanza ilikuwa football ambapo tumewafunga watoto wa kitanga eckernfod mabao 4 kwa bila.
 Game nyingine ni game ya netball kati ya T I A na  ustawi ambapo madada zetu wametuwakilisha vilivyo kwa kuwafunga wenzao wanajamii goli 27 kati ya 17, game ya mwisho ni volleyball ambapo kama kawaida yao wanatetea taji lao kwa ushindi mzuri wa seti 3 bila, dhidi ya CBTI.
                              
                HIzi ni picha za vijana wa football katika matukio  mbalimbali katika game yao                                   
                              











  Guys kikubwa ni dua zenu kwani timu yetu ya mpira wa miguu wanacheza dhidi ya CBE so guys stay tuned
pia kutakuwa na game ya kikapu kati yaetu na eckenford