TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Wednesday, December 12, 2012

EXCLUSIVE: TIA HOYEEEEEEEEEEEE

HI GUYSS
  Kwanza kabissa tungependa kuchukua fursa hii adimu kuwapongeza wanamichezo wetu wote walioko tanga kwa juhudi zote wanazozifanya katika michezo yao  kwani hivi leo tumeshinda michezo yote kabisa kwanza watu wa volleyball walicheza dhidi ya cbti nakuwashinda seti 3 bila na pia wadada nao walijitahidi sana kadri ya uwezo wao na wakappata ushindi wa kishindo wa magoli 27 dhidi ya ustawi waliopata magoli 17
    Shughuli nzima ya siku ilikamilishwa na wababa wa football waliopata ushindi wa magoli 4 bila dhidi ya walimu wa eckenford.

                           Hawa ni team selected wa TIA mabingwa wa mwaka jana kama kawaida today they won