TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Saturday, December 22, 2012

MATUKIO MATANO YALIYOBAMBA TIA BASH

HI TIA sorry kwanza kabisa kwa kuchelewa kuwapa update za matukio yote yaliyotokea alhamisi siku ya bash, u know i was in tanga na i was tired because of the safari ila nilihudhuria and tuli enjoy sana na fans wote waliokuwepo pale hapa ningependa kutupia matukio matano yaliyobamba kwenye bash
  1. kwanza ni mahudhurio wandugu yalikuwa mazuri ile mbaya kulikuwa na nyomi la kufa mtu kiasi kwamba tunahisi ndio bashi lililokuwa na watu wengi zaidi na yale ambayo nimewahi kushudia chuoni pia usafiri ulikuwepo wa kwanda na kurudi kama kuna matatizo ni madogo mno ambayo hayana athari na hayakuweza kuchanganya watu sana
  2. Bei ya vinywaji kwanza ilikuwa juu sana ambayo kwa maisha ya mwanafunzi ya kawaida huwezi kua ford maana bia 3500 soda 2000 maji madogo 1500 kiukweli hivi TIASO mlikodi ukumbi au mlifanya makubaliano na wenye ukumbi alafu mlitutangazia kuwa bei ya vinywaji itakuwa chini cha kushangaza kuingia ndani mambo ni tofauti, mana kama mlikodi vipi kuhusu terms na condition zilizokuwepo pale ukitoka unalipia 5000 kivipi eti jamani, next time angalieni jamani kipindi mnaamua mambo yenu muwe makini sana
  3. Dressing code kiukweli watu walitupia ile mbaya ingawa kwa makaka kigumu zaidi yani ki beach party, wadada wa great sana ila kuna waliozingua niliona high heels kwenye party hivi kinadada mliokuwa mmezitupia you look beatifull ila nahisi sio mahalaa pake pale na ukizingatia kuna mcanga ndo maana ilifikia kipindi mkazivua hahahahah, so all in all mlitokelezeeeeeaaaaaaaaa ile mbaya
  4. mmmmmmmmmmmmmmmccccccccccccccccccccssssssssss kwa kifupi hawa ndo washereheshaji wakuuu jamaaa walikuwa na mzukah ile mbaya kiasi kwamba kila m2 aliwakubali hakuna aliyechoka that day waliamsha popo ile kinoma big uppppppp allll
    5.stali ya kuparty ddddddduuuuh usipime watu wali party ile mbaya wengine wakaranduka hadi walilala    mbalamwezi mchangani wengine ni mwendo wa kwaito ku dougie ndo usiseme yani full masinondo