kwanza kabisa tungependa kuwapongeza wachezaji wote for everyting they did pale tanga sio siri u didi the great kwa kuweza kuongoza kwa kuchukua vikombe vitatu ambapo hamnAa chuo kilichofikia idadi hiyo ya vikombe kwani waliweza kunyakua vikombe vya mshindi wa kwanza kwa volleyball mshindi wa pili netball na mshindi wa tatu football, for real we appriciate everybody for what you guys did
Haya sasa kwenye hamsha hamsha ni kwamba baada ya timu zote kuwasili hapo jana kulikuwa na after party 2 ambapo ya kwanza ilikuwa tanga soon mtapata picha kupitia hapa na hii ndiyo mara ya hanzuruni mwenyewe na chuo kizima kuwafanyia sherehe na kukabidhi vikombe kwa mkuu wa chuo.
hapo juu sijui jofu alikuwa anangalia nini msosi mtam nini kaka hahahahahah
kwenye foleni kupata bonge la menu
duuuuuuuuuuuuu hawa jamaaaaaaaaaaa ndo utamu wa msosi nini au ndo kuchachawa its john pembeni ni kijana mwenye hamsha hamsha toka mbeya
sssssssssssssssssshhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaffffffiiiiiiiiiiiiiiii ndio mambo ya take away nini kaka hahahahah vinywaji vilikuwa vingi na vya kusaza watu walikunywa hadi wakalewa hadi soda
dddddduuuuuuuuuuuuuuu mr waziri wa michezo big up brooo u didi welll and congrats
baraza la mawaziri nalo halikuwa nyuma na rais wa tiaso
Its after party now mr president himself alongside adam waziri wa elimu and madam sr BPLM2
WAziri wa afya nae hakuwa nyuma mr victor na makamu wake