Hellow leo kwaanzia saa 10 alasiri kutakuwa na bonanza upanga shule ya sekondariya wasichana zanaki, timu mbalimbali za mpira wa kikapu zimealikwa pamoja na timu yetu ya TIA so guys kwa yoyote mkereketwa na mpenda michezo unaombwa ufike pale zanaki ili kuishangilia timu yako ili vijana wetu waweze pata ushindi utakaokuwa chachu kwenye mashindano yanayokuja ya vyuo vikuu.
