EXCLUSIVE :TAMBUA MAJINA YA WANAOENDA SHIMIVUTA TANGA
Hi niaje vijana hope your cool and proceeding with your exams, okey the good news ni kwamba stay tuned majina ya wanachuo wanaoenda shimivuta will be released soon na mr petro kupitia hapa tunayaweka kwenye soft copy so mwambie mwenzako from saa 11 kutakuwa na press conference pale uwanja wa kikapu.