TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Friday, February 15, 2013

CHAGUA CHAGUO NI LAKO


Hey how are you doing TIA mmh kuna info kutoka kwa waziri wa michezo kwamba mcahague katika mashindano tunayojiandaa nayo ya inter course, anaomba mawazo ya wanachuo wote kuwa zawadi ya mshindi iwe ni je pesa, zawadi au bidhaa ili kila mtu alizike au iwe kombe soo its yooo time knowa to make decision thawa wajamaaa so stay tuned na ukipata hizi info tell yo friend and friend tell a friend.
  Bila kusahau mashabiki honestly tia mmelala sana kwenye michezo please these time jaribu kutoa support katika course yako ili kila kitu kiende sawaaaaaaaa.