Hawa ndo washindi wa kwanza na wapili kama walivyojipanga
- hawa ndio waliokuwa washindi wa miss and mr tua mwaka 2013 soo hope mwaka ujao tutapata washiriki wengi sana ili kusiwepo na malalamiko yoyote na ijumaa tatu nndo zawadi zitatolewa pale tiaso ambapo mshindi wa kwanza atapata laptop mpya ya kisasa pamoja mshindi wa pili na watatu ni smartphones mpya.
Mshindi wa kwanza kwa upande wa mamisii ni fortunata kabula na kwa wavulana ni oobby wa pili ni mr inno na wa tatu ni mr sam huku kwa mamiss namba mbili ni julliet