Bw.Magester Ngereja-Mwenyekitialiyemaliza muda wake wa Procurement and Supplies
Association of Tanzania Institute of Accountancy(PSA-TIA) naye akihutubia
wahitimu wa shahada ya juu ya ugavi yaani Bachelor Degree in Procurement and
Logistics Management pamoja na wageni waalikwa wakati wa mahafali ya
wanajumuiya hiyo yaliyofanyika chuoni TIA jumapili ya tarehe 12/05/2013 ambapo
amewataka wanaobaki kujiunga na PSA-TIA na PaSAT ambavyo ndio vyombo vinayosimamia maslahi ya
wagavi kwa Taifa zima.
Bw.Amos Miyuda-Mwenyekiti mpya wa Procurement and Supplies Association of Tanzania Institute of Accountancy(PSA-TIA) naye akihutubia wahitimu wa shahada ya juu ya ugavi yaani Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management pamoja na wageni waalikwa wakati wa mahafali ya wanajumuiya hiyo yaliyofanyika chuoni TIA Dar es Salaam jumapili ya tarehe 12/05/2013 ambapo amewataka wanaobaki kujiunga na PSA-TIA na PaSAT ambavyo ndio vyombo vinayosimamia maslahi ya wagavi kwa Taifa zima.
Mgeni
Rasmi katika maafali hayo ndugu Nolaskus Mpota ambaye ni Mwenyekiti wa
chama cha wagavi taifa yaani Procurement and Supplies Association of Tanzania(PaSAT) akigawa vyeti vya
PSA-TIA CLUB kwa wahitimu wahitimu wa shahada ya juu ya ugavi yaani Bachelor
Degree in Procurement and Logistics Management wakati wa mahafali ya
wanajumuiya ya ugavi tia yani Procurement and Supplies Association of Tanzania
Institute of Accountancy(PSA-TIA)
Bw.Salfius
Mligo toka UDSM ambaye ni katibu mkuu wa Procurement And Supplies Association of
Tanzania(PaSAT) naye akihutubia wahitimu wa shahada ya juu ya ugavi yaani
Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management wakati wa mahafali ya
wanajumuiya ya ugavi tia yani Procurement and Supplies Association of Tanzania
Institute of Accountancy(PSA-TIA)
Wahitimu pamoja na wanachama wa PSA-TIA Club wakisikiliza hotuba ya mgeni rasm
Bw.Kennedy Ndosi (mwanzilishi wa PSA-TIA) ambaye alikuwa mwakilishi wa mwalimu mlezi wa PSA-TIA,Bw.Amos.G.Miyuda(mwenyekiti wa sasa wa PSA-TIA)na Salfius Mligo(katibu mkuu-PaSAT)wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu na wanachama wengine wa klabu ya PSA-TIA mara baada ya maafali hayo yaliyofanyika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) hivi karibuni