TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Thursday, November 07, 2013

TANGAZO TANGAZO TANGAZO............................

O RESTLESS ORGANISATION
Hellow TIA how are you doing, kesho kuanzia saa 4hadi saa tano na nusu kutakuwa na seminer pale room five ambapo kutakuwaana trainning,registration ya wanachama wapya ambao wanafunzi wote kwa pamoja mnatakiwa kufika pale ili muweze kupata info zaidi kwani its special for the youth.
  Ukipata taarifa hii mpe mwenzio