TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Thursday, April 10, 2014

BONANZA BONANZA

kesho kwanzia saa nne asubuhi kutakuwa na bash katika viwanja mbalimbali vya TIA michezo kama,mpira wa miguu,netball,volleball and basketball na suprise kibao kama mashindano ya kunywa soda, kuvuta kamba na vingine vingi hivyo usikoseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....................