TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Thursday, April 10, 2014

SERIKALI YA WANAFUNZI TIASO HAIJAVUNJWA

ndugu wanafunzi taarifa zilizo zagaa katika chuo cha UHASIBU T.I.A kua serikali ya wanafunzi TIASO imevunjwa sio za kweli kwa mujibu wa katiba ya ya TIASO serikali bado ipo madarakani so epuka udanganyifu na taarifa za uongo zilizopo

                                                TOGETHER WE CAN