TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Sunday, April 20, 2014

MWANAFUNZI WA DAI FT APATA AJALI

ndugu wanafunzi wa T.I.A kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwafahamisha kua kuna mwanafunzi mwenzetu anaitwa CHIRISTINA K. PIUS alipata ajalisiku ya tar 17/04/2014 ya kugongwa na gari na kumsababishia mathara makubwa yalioletelezea akatwe mkono mmoja wa kushoto pia ule wa kulia aliumia vibaya sana na meno ya mbele yakangoka.
ndugu wanafunzi wa chuo cha uhasibu TiA kumbuka kua hujafa hujaumbuka hakutegemea kupata ukilema akiwa mkubwa kumbuka na wewe yanaweza kukukuta kama yaliomkuta CHRISTINA kwaiyo bas tunatakiwa kumuombea sana mwenzetu na kumsaidia kwa hali na mali ili aweze kupata nafuu mapema

kwa sasa yupohospital ya MUHIMBILI  MWAISELE WODI NO 02 kama ukiwa na nafasi waweza ukaenda kumuona na MUNGU awabariki sana

pia tunawatakien PASAKA NJEMA