TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Tuesday, November 20, 2012

EXCLUSIVE; HIZI NDIZO PICHA ZA SHEREHE YA KUAPISHWA RAIS NA MAKAMU WAKE

     Hi guys, tuna iamani kuwa kila mwana TIA alihudhuria sherehe za kuapishwa rais wa TIA bwana GIft na makamu wake Mwasiti zilizofanyika siku ya jumatatu ki ukweli it was a nice party ambapo watu mbalimbali walihudhuria ikia ni rais kutoka UDSM, IFM, TAXATION na makamu wa rais kutoka CBE. huku mgeni rasmi akiwa ni mwalimu wa human resource tuna imani kila mtu anamfahamu huyo mr jamani, kwa wale ambao hawakubahatika kupata kuona picha za tukio zima la uapisho please stay tuned kuzicheki hapa.



kwa wale ambao hawamfahamu huyo ndiye rais wa tia akiteta jambo baada ya kuapishwa,kushoto kwake ni madam Mwasiti ambae ni makamu wa rais na pi kulia kwake ni Rais aliyemaliza muda wake bwana Lucas magesa
                                      
hapa ni rais wa udsm akiteta jambo na mamia ya wanachuo waliohudhuria sherehe hizo

            Kama kawaida itifaki lazima izingatiwe huyu hapa rais mpya sasa wakikumbatiana na yule aliyemaliza muda wake kama ishara ya upendo


                           
                 hapa ni wageni wote ambao walioudhuria sherehe hiyo wkipata picha ya pamoja


                    

            Huyu ndio alikuwa mwenyekiti wa uchaguzi wa TIASO
                                     

                  katikati ni Rais wa IFM akiwa na Gift pamoja na makamu wake madam Mwasiti

                                 Mwenyekiti wa uchaguzi na Spika wa bunge wakimwapisha makamu wa rais


                           
                         hawa ni baadhi tu ya wanachuo waliohudhuria sherehe hizo namwona katikati ni Frola, Semvua  wakiwa pamoja na Rais wa IFM
                Rais wa IFM akiteta jambo

                          Dada caroline kwa wale ambao hawamfahamu ndiye aliyekuwa spika wa bunge aliyemaliza muda wake
                       hahahahahahaha huyi ni sheha siju anaangalia nini eti kaka oitsup?


                    Rais nae akiapishwa na spika wa bunge pamoja na mwenyekita wa uchaguzi

                   Lucas magesa nae Rais mstaafu kama kawaida lazima apewe ruhusa ya kuongea simnaelewa itifaki lazima izingatiwe

                     ni twalib bwana pamoja na wagombea




                               Mgeni rasmi wa shuguli hiyo wazeeeee
                              Nadhani kila mtu anamfahamu huyu kijana mazee ni aliyekuwa mpinzani mkuu wa mr gift huyu ni Mr thadeo hapa akiteta jambo kuonyesha upendo wake alionao juu ya serikali iliyoshinda ya bwana gift








                      Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki TIA