hii ni siku nyingine tena, baada ya jana kutupi the ten celebrity leo tunatupia the top diva and gangster of the day wadau na hapa leo tunae bwana oscar na na Mariam
kama kawaida mens first duh kwa wale ambao hawamfahamu anaitwa bwana oscar anasoma BBA mwaka wa pili kutokana na maoni ya wadau jamaa ni jembe xana ni mwana mazoezi mzuri tu kikapu ndo mpango mzima aseee i think u guys appriciate him eeeh,
These are some of his pics katika harakati mbalimbali za maisha
Hapa akiwa tizi mazeeeee

Dah i think kwa office wadau i think u see the single button over there

Kama kawaida shopping ndo mpangoi mzima kwa kijana yoyote anaejitambua

Mmmmh haya huyu ni mariamu kwa wale wanamichezo i think mnamfahamu she is unique na anapenda kujimix na washikaji pia bila kusahau anapendelea kucheza kikapu netball and sometime volleyball if you want to see her you step to the basketball fans court au netball court
Mhh some kind of outing
Cheki the swagg hapa wadau duhhhhh whats that?