TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Monday, November 19, 2012

TOP TEN TIA CELEBRITES


 MMH wadau hebu watambue top ten ya wanachuo ambao mimi na wadau wengine tumeona ndio wana kick au maarufu kwa lugha nyingine wenye mvuto na watu wana marafiki wengi sana.



                                                          10. Ni allan a.k.a balotelii guys huyu jamaa yuko bplm2 he is fomous sana hapa chuoni sana sana kwenye hostel za kiume anakaa flow ya mwisho ila cha kushangaza ukipita nae tu utaskia kila m2 aaah baloteli toto tundu na hii ni kwa sababu jamaa is like the king of man city.

                    



                                     9. Inashikwa na kijana anaitwa willy ni maarufu pia na kivutio cha wengi   hasa anapokuwa na his girlfriend kila sehemu  sio siri wengi wanakuwa interested on luking them.





                      8. I think everybody chuoni knows these group wadau these are the real divas as u see them  they real shine and attractive huwa ni kivutio cha wengi when they walk as a u see them amekosekana frola
tuuu hapo wadau and mariam.




                                            7. Huyu bwana ni sheha, brother alikuwa spika uongozi wake mzuri wa bunge liliopita ndo umemfanya kuwa maarufu sana, pia lazima utafurahi kuongea na jamaa coz yuko soo charming


6. Hapa kama wewe nio mwanafunzi wa mwaka wa kwanza mpaka wa tatu if you dont know these girl itabidi uende milemmbe wadau, anaitwa mary BPLM3
 
 

                                  5. Anaingia kijana khimmji amekuwa famous gafla kwa sababu alikuwa mgombea mmojawapo wa nafasi ya uraisi amefahamika sana na hata inadiliki hata wanamuita "kanjibai"     



                        4. ni madam CR wa BPLM11 she is more than famous anaitwa edina, she is beatiful, anjitambua and very charming
         

                        3. kila mtu anamfahamu huyu hasa mamen alikuwa waziri wa mawasiliano nadhani kila m2 anakumbuka bash kwa wale wa mwaka wa pili na tatu wazee cio siri anakubalika sana sio tu wavulana ni hata wadada, pia ndio CEO wa group la TIA magazine kwene facebook.

 
                      2. hapa ni mzee mwenyewe lucas magesa former TIASO President jamaa yuko hot ile mbaya na kila m2 anamfahamu coz alikuwa nguzo muhimu sana TIA





                                        1. daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huyu sisemi hata jina lake coz ni famous zaidi ya mkuu wa chuo kila m2 anamfahamu aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

                                 


NB; Next days tutakuwa tunatupia news za kutosha na kutakuwepo nw model of the week bila kusahau top ten models and gentlemen.