TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Wednesday, November 21, 2012

MASHABIKI WA YANGA NAO

Hellow kwa wale wana tia hebu huwa mna pozi gani pindi ambapo timu yenu huwa inafungwa? je huwa mnakuwa kama huyu jamaa yenu akihojiwa na clouds tv? hebu mtazame jinsi alivyo mwanachama na shabiki mkubwa wa yanga.