TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Wednesday, November 21, 2012

TAZAMA TUKIOLA WANACHUO WALIOUAWA

     Mwezi mmoja uliopita kulitokea tukio katika nchi ya nigeria ambalo lilihusu wanafunzi wa chuo waliopigwa na kuchomwa moto kwa tuhuma za kuiba simu na laptop vyenye jumla ya kam dola 1000, ambapo baadae ilitambulika kuwa jamaaa hawakuiba ila kuna kijana waliokuwa wanamdai wa kijiji hicho, kutokana na uzawa na kufatwa fatwa na wanachuo hao ndipo akajiskia kupiga yowe watu kuskia hivyo ndio hamsha hamsha hiyo ikaanza.
                                                  hizi ndizo picha za tukio hilo

          Kwa taarifa zinsema vijana hao hawakuwa wezi kwa sababu kila mmoja ametoka kwenye familia  ya kifahari na hii ni picha ikimwonyesha mmoja ya vijana hao akifanya shoopping marekani



.

.

.

R.I.P
  Dhumuni la kutupia tukio hili ni kuwaonyesha jinsi wanachuo mbalimbali wanavyopata  hali ngumu mitaani swali je tukio hili likitoke hapa kwetu itakuaje?    


            bwana these is the video hebu angalia then tahtmini ingekuwa ni wanachuo wa TIA ungefanyaje?..... fatilia na toa comment yako wazeeee
 
   

sorry for the picture