Tuna imani nyote ni wazima na mnaendelea vyema na mitihani yenu, kwa wale wana michezo haya ndo majina ya wanafunzi wenzetu watakaoenda Tanga kushiriki mashindano ya vyuo vikuu
hebu yacheki theni wish best wishes to these guys hapo chini au sio.
BASKETBALL.

- JOHN MATYENYI
- OSCAR OLLAL captain
- DANIEL PHINIAS
- GAUDENCE KIKWEMBE
- IDDI HUSEIN NUNGU
- SALLY KUBETA
- JACOB GWAE
FOOTBALL .

- SAID NGULANGWA ABDUL
- HARRISON CHANGAWA
- HAMZA SHAFII
- MWINSIMBI AZIZI
- ABDALLAH HAMZA
- RICHARD COLLINS
- KITUKU NEWTON
- KIGUA MOHAMED
- GEOFREY STEPHEN
- JUMA ABDALLAH
- ATHUMAN MOHAMED
- EMANUEL CLEMENT
- KHAMIS MASOUD

- THERESIA MAGESA
- SALUM LATIFA
- MAHONA MARIAM
- HAMIS FATUMA
- SEMBOMBE NEEMA
- MOLLEL JACQULINE
- MGANDO IRINE
- JUMA FATUMA .A.

- NICHOLAUS PANGAPANGA
- ABDALLAH AHMAD
- MWITA JUMA
- FARAJI IDD
- DENIS NDOSI
- FRED KASORE
- JESSE MGANA
- MJUNI BENSON
Tunawatakia kila la kheri kwenye mashindano hayo,na ni imani mtakuja na vikombe vingi zaidi ya vile vya mwaka jana kwani mazoezi mliyoyafanya kwa kipindi chote yanawatosha au sio vijana?
Tungependa pia kuwashukuru wote ambao walishiriki katika mazoezi kipindi chote cha maandalizi na hawakuchguliwa, taarifa ni kwamba chuo kilipenda wote twende hadi mashabiki, ila bajeti ya mwaka huu ni ndogo mno ambayo haitosherezi kabisa hivyo basi tunaomba mjitahidi na mazoezi ili angalau mwakani tujitahidi waende wengine
ahsante