TIA NDO MANGOMZIMA. Powered by Blogger.

Wednesday, December 26, 2012

GOOD NEWS FROM ADMINISTRATOR


YEYO ni kwamba stay tuned kupata picha zote za matukio cku ya bash alhamisi iliyopita ziko kwenye mchakato wa mwisho zikiandaliwa huku zikiambatana na much more stories from the event mwanadada aliyetupia kuliko wote na gentlemen aliyetupia pia, so stay tuned guys kupata sukari kutoka humu ndani.
  Pia guys anyone ambaye ana wazo la kuchangia au ana tangazo lolote lile kuhusiana na wanachuo please inform me kupitia 0656177380 na 0766109131 or inbox me at my facebook account john matyenyi au email me antonyj27@yahoo.com
or antonyj27@live.com hata ukipata news nzuri pia usisite kuni inbox hii ni kwa faida ya wanachuo wote kwa ujumla.